Lamusia Anzaya

Mwanachama wa Bodi

Lamusia anajitolea kuhusu miradi inayojenga Afrika leo. Kwa sasa yeye ni Mwanzilishi Mwenza na Afisa Mkuu wa Uendeshaji katika Alfluence, jukwaa la kimataifa la matangazo linaloendeshwa na AI.

Ametoa uwekezaji, mkakati, na msaada wa uendeshaji katika sekta mbalimbali ikiwa ni pamoja na FMCG, huduma za kifedha, afya, na katika vyombo vya habari, akifanya kazi na kuunga mkono chapa Kiafrika na za Kimataifa  zinazo ongoza, ikiwa ni pamoja na PwC, KFC, Newscafe, TBN, na Standard Media Group.

Ana shahada ya BBA kutoka Chuo cha Biashara cha HKUST na ni mmiliki wa Cheti cha CFA. Anaamini elimu na ujasiriamali kama vichocheo muhimu kwa mageuzi ya kiuchumi ya bara la Afrika.