Appel à la Reconnaissance officielles des territoires et site naturels

Mifano ya kurasa zilizotumiwa

Muhtasari

Ripoti hii inaangazia sauti ya jamii asili kutoka nchi sita za Afrika ambazo zimechukua jukumu la kufufua na kulinda tamaduni na utamaduni kwa kuchukua kesi yao kwa tume ya Afrika.

Kauli yao inasisitiza namna uongozi wao wa kitamaduni ulifanyika awali kabla ya kipindi cha kurekodi, inayotokana na maeneo takatifu ya kiasili na himaya. Wito wao wa kuchukua hatua unaonyesha umuhimu wa majibu ya kisheria yaliyoitishwa na tume ya Afrika – kuunda kanuni na utambulisho wa kisheria wa maeneo matakatifu ya kiasili na himaya na mifumo yao ya kiasili ya uongozi.

Ripoti hii inapeana muktadha na uchanganuzi kama motisha ya majibu ya kisheria ambayo yanatafutwa. Zaidi, inatoa mjadala wa mifumo mingi ya sheria, ikikumbusha wasomaji kuwa mkataba wa Afrika unajitahidi kwa wingi au mifumo mingi  ya sheria.

Hatimaye, ripoti hii inagusia pia kuunda taratibu za kisheria ndani ya nchi za Afrika kwa fadhila ya kutambua umuhimu wa maeneo matakatifu ya kiasili na himaya.

Mchango wetu

Uhariri
Kuhariri kiundani
Kusoma kwa prufu

Uchapishaji
Nakala zilizoundwa tayari kwa uchapaji
Nakala zilizopigwa chapa

Mwaka wa uchapishaji: 2017

 

Lengo la Malengo ya Maendeleo Endelevu linalohusiana na chapisho