ABN Seed Catalogue
Mifano ya kurasa zilizotumiwa
Muhtasari
Chapisho hili linaangazia mradi ulioanza mwaka wa 2018. Ulianzishwa na mashirika manne yasiyo ya kiserikali chini Ethiopia, Benin, Ghana na Zimbabwe. Miungano hii ni wanachama washirika wa Africa Biodiversity Network.
Mradi huu unakusudia kufufua utofauti wa wakulima na shughuli nyingine za maarifa ya kiasili. Unalenga zaidi kuchangia katika mchakato mpana wa kuhakikisha uhuru wa chakula na maisha yaliyoboreshwa Afrika kwa kuimarisha uwezo wa jamii za mashinani kuhifadhi na kutunza utofauti wa viumbe hai. Kuundwa kwa katalogi hii ni mojawapo ya malengo yaliyotajwa lililotekelezwa na mradi huu.
Mchango wetu
Uhariri
Kuhariri kiundani
Kupeana majina ya kisayansi ya kila mbegu
Kuunda yaliyomo
Kuunda ujumbe wa kina kuhusu mbegu zilizo ndani ya katalogi
Michoro
Kuunda michoro ya kisayansi ya mbegu za kiasili ndani ya katalogi hiyo
Usanifu
Usanifu wa muundo
Usanifu wa picha
Uchapishaji
Nakala zilizoundwa tayari kwa uchapaji
Nakala ndogo zilizoundwa ili kusambaza mtandaoni kwa urahisi
Nakala zilizopigwa chapa
Mwaka wa uchapishaji: 2022