Aziza’s Gift
Mifano ya kurasa zilizotumiwa
Muhtasari
Aziza‘s Gift ni hadithi ya kwanza kwa mfululizo wa Auntie Yanna. Iliandikwa kuburudisha, kufunza na kuunda mfumo thabiti wa kimaadili kwa msomaji. Ingawa hadithi hii imeandikiwa watoto wa umri kati ya 7 hadi 10, mafunzo yake ni muhimu kwa watoto wa umri wote.
Shindano la mwisho la kutaja herufi litafanyika baaada ya wiki mbili. Aziza atashiriki katika katika fainali na anaogopa. Hajiamini, sana sana kwa sababu wanafunzi wengine shuleni wanamtania. Ila kwa maneno ya tumaini kutoka kwa mamake, Mama Heri, na wimbo maalumu uliotungwa na kakake Heri, anahisi ujasiri tena. Je, atashinda katika shindano hilo?
Mchango wetu
Mchango wetu
Kuunda yaliyomo
Kuunda wahusika katika mfululizo
Uhariri
Kuhariri kiundani
Kusoma kwa prufu
Michoro
Kuunda michoro ya wahusika
Usanifu
Usanifu wa picha
Uchapishaji
Nakala zilizopigwa chapa
Mwaka wa uchapishaji: 2021