Boosting Regional Tourism in Eastern Africa:
Exploring the Potential of Urban Tourism
Mifano ya kurasa zilizotumiwa
Muhtasari
Utalii ni muhimu sana kwa ajili ya maeneo kukua kijamii na kiuchumi, hasa katika mataifa yanayokua, kama vile Afrika Mashariki. Licha ya kukua kitalii katika maeneo, sekta hiyo inakabiliwa na changamoto, inatambulika katika kuzingatia utalii wa wanyama wa pori, na kupuuza utalii wa mijini. Ili kulishughulikia suala hili, utafiti huu ulifanywa ili kuelekeza Afrika Mashariki kupata faida kutokana na utalii wa mijini. Utafiti huu unachunguza mwelekeo wa ulimwengu, unakadiria maendeleo ya utalii wa mijini katika Afrika Mashariki, unatambua sababu za uhaba wa wageni, na unapendekeza mikakati ya utekelezaji. Ripoti hii pia inajumlisha maelezo kuhusu uwezekano wa utalii wa mijini kusababisha kuweko kwa shughuli tofautitofauti za kiuchumi na kuboresha viwango vya hali ya maisha, inatoa mifano ya miji kama vile Paris na Dubai. Inapendekea mipango ya kina, kuziunganisha sera, uundaji wa miundo msingi, nembo ya kipekee, na ushirikiano, kama sehemu muhimu za kugundua uwezo na maendeleo endelevu ya utalii wa mijini katika Afrika Mashariki.
Mchango wetu
Kuhariri
Uhariri halisi
Kusahihisha
Ubunifu
Ubunifu wa michoro
Uchapishaji kupitia tarakilishi
Uchoraji
Ubunifu wa michoro na ramani za takwimu
Uchapishaji kupitia tarakilishi
Uchapishaji
PDF iliyo tayari kuchapishwa
Faili ndogo ya PDF faili rahisi kushiriki na watu mtandaoni
Mwaka wa uchapishaji: 2024