Brooke East Africa News
Mifano ya kurasa zilizotumiwa
Muhtasari
Suala la 20, chapisho hili linapitisha msomaji kwa taarifa nyingi zinazohusiana na ustawi wa wanyama. Baadhi ya taarifa hizo ni kutuma malalamishi kutoka kwa jamii inayomiliki punda wakitoa wito kwa serikali ya Kenya kupiga marufuku kuchinjwa kwa punda na kuondoa punda kutoka kwa orodha ya wanyama ambao wamekubaliwa kuwa chakula.
Zaidi, toleo hili linaangazia juhudi za wapiganiaji wa haki za ustawi wa wanyama kuwajibisha serikali kwa kuondoa marufuku ya awali yaliyowekwa kwa nyama ya punda.
Mchango wetu
Uhariri
Kuhariri kiundani
Kusoma kwa prufu
Usanifu
Usanifu wa muundo
Usanifu wa picha
Uchapishaji
Nakala zilizoundwa tayari kwa uchapaji
Nakala ndogo zilizoundwa ili kusambaza mtandaoni kwa urahisi
Mwaka wa uchapishaji: 2021