Circle of Impact Newsletter

Mifano ya kurasa zilizotumiwa

Muhtasari

Mtindo wa Circle of Impact ulioundwa na Dkt. Ed Brenegar unajikita katika vipimo vitatu vya uongozi. Jarida hili linatumiwa kama utangulizi wa vipimo vya uongozi likiwa na vipande vifupi fupi vya ujumbe wa kusaidia mtu kuangazia vipengele mbali mbali vya uongozi na kusababisha athari.

Mchango wetu

Uhariri
Kusoma kwa prufu

Usanifu
Kuunda muundo wa jarida
Usanifu wa muundo
Usanifu wa picha

Uchapishaji
Nakala zilizoundwa tayari kwa uchapaji
Nakala ndogo zilizoundwa ili kusambaza mtandaoni kwa urahisi

Mwaka wa uchapishaji: 2020

Lengo la Malengo ya Maendeleo Endelevu linalohusiana na chapisho