E Plus Strategic Plan 2016–2020

Mifano ya kurasa zilizotumiwa

Muhtasari

E-Plus imepanuka sana ndani ya miaka sita iliyopita ikiongeza magari yake kutoka 5 hadi 128 ya ambulansi ya kisasa yaliyoenea sehemu zote nchi na kupanua mipaka ya huduma zake kutoka kwa ile ya usajili wa wanachama ili kujumuisha ambulansi za huduma ya gatuzi, utoaji wa huduma za ambulansi wa kitaifa, huduma ya ambulansi ya angani na kuangazia matukio yanayoendelea.

Kampuni imechangia kuunda sera ya huduma za matibabu ya kidharura na kuunda mpangilio wa mkakati wa mwaka 2016-2020 ili kuweka wazi malengo ya kufanikishwa na ya kikweli. Programu hii inaangazia mikakati mikuu minne: uendeshaji mzuri, huduma mzuri kabla ya kufikishwaa hospitalini, ushirika wa kimikakati na uendelevu wa kifedha. Inatumia fursa ya nafasi hizi ili kutangamanisha bidhaa na huduma, upanuzi wa uanachama, na kutumia mitandao ya kijamii kwa mawasiliano na kutangaza huku wakikabiliana na vizuizi kwa kuhimiza maendeleo ya kanuni ya EMS ya kitaifa na kuendelea kuboresha mfumo wa EMS.

Mchango wetu

Uhariri
Kuhariri kiundani
Kusoma kwa prufu

Usanifu
Usanifu wa muundo
Kutengeneza grafu
Usanifu wa picha

Uchapishaji
Nakala zilizoundwa tayari kwa uchapaji
Nakala zilizopigwa chapa

Mwaka wa uchapishaji: 2016

Lengo la Malengo ya Maendeleo Endelevu linalohusiana na chapisho