E-Plus Strategic Plan 2021-2025

Mifano ya kurasa zilizotumiwa

Muhtasari

Mkakati wa huduma na ukuaji wa E-Plus wa 2012-2025 unajengwa kutoka kwa mafanikio ya awali na mafunzo ya utekelezaji wa mpango wa mkakati wa kwanza. Lengo lipo katika dhamira mbili kuu: utekelezaji wa huduma na ukuaji na uendelevu. Dhamira ya utekelezaji wa huduma inaazimia kuboresha hali ya mgonjwa kupitia ushiriki wa huruma, uwajibikaji na huduma zilizounganishwa, huku dhamira ya ukuaji na uendelevu inakusudia kupanua huduma katika eneo hilo kuongeza wanachama na kuboresha upataji wa fedha.

Utekelezaji wa mpango unaungwa mkono na ushindani mkubwa wa shirika hilo, ila changamoto kama vile ukosefu wa kanuni za EMS, miundo msingi mibovu na kudorora kwa uchumi wa kiulimwengu lazima viangaziwe. Mpango huu unajihusisha sana na mgonjwa na teknolojia ya kidijitali ili kuboresha utoaji wa huduma. Taasisi hii inapanga kupanua huduma zake hadi Rwanda, Gambia, Msumbiji, Madagascar na Equatorial Guinea kufikia 2025.

Mchango wetu

Uhariri
Kuhariri kiundani
Kusoma kwa prufu

Usanifu
Usanifu wa muundo
Grafu na jedwali
Usanifu wa picha

Uchapaji
Nakala zilizoundwa tayari kwa uchapaji
Nakala ndogo zilizoundwa ili kusambaza mtandaoni kwa urahisi

Mwaka wa uchapishaji: 2021

Lengo la Malengo ya Maendeleo Endelevu linalohusiana na chapisho