End of Project Valuation
Integrating Public-Private Sector Dialogue (PPD) for Trade and Investment in Kenya
Mifano ya kurasa zilizotumiwa
Muhtasari
Ripoti hii ni utathmini wa mwisho wa mradi uliofanywa na Kenya Private Sector Alliance (KEPSA) kuhusu programu yake ya miaka mitano ya Public-Private Sector Dialogue (PPD). KEPSA inakusudia kuboresha hali za biashara iliyopanuka na kuekeza kwa biashara za Kenya lengo likiwa kwa utaratibu wa ugavi na usafirishaji wa watu na vitu (barabara, reli na angani), upatikanaji wa biashara, kodi ya forodha na ushuru, viwango na kulinda afya na udhibiti wa kudumu wa usafi, mpangilio wa biashara na usaidizi wa kitaluuma ili kuwepo na mfumo mzuri wa mazungumzo baina ya sekta za binafsi na za umma.
Uchunguzi huu unatathmini uhusiano wa mradi na kueleweka kwa kutoa ujumbe na maarifa kuhusu mafunzo muhimu ya mradi. Zaidi, inachunguza iwapo kuna kuboreshwa kwa viwango vya kibiashara, kupungua kwa vizuizi visivyo vya ushuru na kuboreshwa kwa udhibiti wa mazingira ya biashara Kenya.
Mchango wetu
Uhariri
Kuhariri kiundani
Kusoma kwa prufu
Usanifu
Usanifu wa muundo
Grafu
Usanifu wa picha
Uchapishaji
Nakala zilizoundwa tayari kwa uchapaji
Nakala ndogo zilizoundwa ili kusambaza mtandaoni kwa urahisi
Mwaka wa uchapishaji: 2022