Ethiopian Sustainable Tourism Master Plan
Mifano ya kurasa zilizotumiwa
Muhtasari
Mpango huu mkuu unaweka azma ya uendelevu wa maendeleo ya utalii Ethiopia. Unahusisha programu za mikakati, miradi teule na shughuli za miaka kumi ya utekelezaji wa mfumo. Chapisho hili linaendana na ajenda ya maendeleo ya Ethiopia kama ilivyo ndani ya mpango wa ukuaji na mabadiliko wa 2015-2020.
Mchango wetu
Uhariri
Kuhariri kiundani
Kusoma kwa prufu
Picha
Kutafuta picha halisi
Usanifu
Usanifu wa muundo
Kuunda grafu maalum na jedwali
Usanifu wa picha
Uchapishaji
Nakala zilizoundwa tayari kwa uchapaji
Nakala zilizopigwa chapa
Mwaka wa uchapishaji: 2016