Everything About Networking
Mifano ya kurasa zilizotumiwa
Muhtasari
Utangamano, kile kilicho, na kile kisicho ndio dhana ambayo inachanganya wakati huu. Chapisho hili lina mkusanyiko wa namna ya kutangamana kwa miktadha na mifanyiko mbali mbali. Utangamano ni ujuzi laini ambao haufunzwi kwa urahisi iwapo kuna kufunzwa. Everything About Networking inaangazia hila ya namna utangamano unaweza kumsaidia mtu kuendelea katika maisha ya kibinafsi na ya kitaaluma.
Mchango wetu
Uhariri
Kuhariri kiundani
Kuhariri kwa muundo
Kusoma kwa prufu
Usanifu
Kuunda michoro
Kuunda ujumbe
Kuunda wahusika wa kuwakilisha utangamano mbali mbali
Uchapishaji
Nakala zilizoundwa tayari kwa uchapaji
Nakala zilizopigwa chapa
Mwaka wa uchapishaji: 2023