Feeding the World Regenerating Ecosystem Rebuilding Local Economies And Cooling The Planet
Mifano ya kurasa zilizotumiwa
Muhtasari
Muungano wa Uhuru wa Chakula Barani Afrika (AFSA) ni jukwaa la muungano wa Waafrika linaohusisha utangamano na makundi ya wakulima wanaofanya kazi Afrika. AFSA inaazimia kuwa sauti thabiti inayonyoosha sera za bara za haki za wanajamii, ukulima wa kifamilia, kuimarisha elimu ya kiasili na mifumo ya maarifa, mazingira na usimamizi wa maliasili.
Lengo kuu la AFSA ni kushawishi sera na kuunga mkono suluhisho za Afrika kuhusu uhuru wa chakula. AFSA itahudumu kama jukwaa la kibara la kushughulikia masuala ya uhuru wa chakula na kwa pamoja wapaze sauti kubwa kuhusu masuala na kutoa suluhu ambazo ni wazi na za kufanikika.
Mchango wetu
Uhariri
Kuhariri kiundani
Kusoma kwa prufu
Usanifu
Usanifu wa muundo
Usanifu wa picha
Uchapishaji
Nakala zilizoundwa tayari kwa uchapaji
Nakala zilizopigwa chapa
Mwaka wa uchapishaji: 2012