General Principles of Revenue Enhancement

Mifano ya kurasa zilizotumiwa

Muhtasari

Kitabu hiki kimeandaliwa kama mwongozo wa ukusanyaji wa mapato na mgawanyo wa Serikali za Kaunti nchini Kenya. Kinazingatia hususan mapato ya ndani, kikielezea kanuni za jumla za kufuata ili kuyatumia vyema zaidi. Kinaeleza zaidi kanuni za ukusanyaji wa mapato ambazo zitawawezesha Serikali za Kaunti kutoa huduma kwa wananchi wake. Lengo la chapisho hili ni kuonyesha jinsi ya kuboresha shughuli za usimamizi wa fedha za umma.

Mchango wetu

Uhariri
Kuhariri kiundani
Kusoma kwa prufu

Usanifu
Usanifu wa muundo
Usanifu wa picha

Uchapishaji
Nakala zilizoundwa tayari kwa uchapaji
Nakala zilizopigwa chapa

Mwaka wa uchapishaji: 2017

Lengo la Malengo ya Maendeleo Endelevu linalohusiana na chapisho