Give Me My Mountain Training Manual
Mifano ya kurasa zilizotumiwa
Muhtasari
Mwongozo huu wa kufundisha uliundwa ili kuelekeza wafundishaji kufunza thamani ya kila sura ya kitabu cha mwelekezi na kile cha mwanafunzi cha Give Me My Mountain. Maono ya Give Me My Mountain ni kuzalisha kizazi kipya cha viongozi na wajasiriamali watakao fuata kiini cha kitabu hiki ambacho ni kuzalisha mali kwa njia za kimaadili.
Mchango wetu
Uhariri
Kuhariri kiundani
Kusoma kwa prufu
Usanifu
Usanifu wa muundo
Usanifu wa picha
Uchapishaji
Nakala zilizopigwa chapa
Mwaka wa uchapishaji: 2020