Give Me My Mountain Workbook
Mifano ya kurasa zilizotumiwa
Muhtasari
Kitabu hiki cha wanafunzi kiliundwa ili kuelekeza na kufunza zaidi kuhusu mafunzo ya kitabu cha Give Me My Mountain. Kinaazimia kuvunja majukumu ya kitabu hicho hadi mafunzo nane kwa kuzingatia sura 16.
Sura ya 16 iliyotabarukiwa wanawake imetumiwa kama utamatisho mwishoni wa kitabu hiki cha wanafunzi. Kusoma kitabu hiki sura baada ya nyingine kunahimizwa kwa kuwa kila sura inajenga inayoifuata. Iwapo unataka kuingia katika biashara au wewe tayari ni mjasiriamali, kitabu hiki cha wanafunzi na kitabu cha Give Me My Mountain ndicho unaweza soma mara kwa mara na pia kurejelea unapokumbana na changamoto ama unapotaka ufafanuzi zaidi. Kukisoma kutakusaidia kuongoza, kukuwezesha na kurejesha imani yako unapojitahidi kutimiza azma yako.
Mchango wetu
Uhariri
Kuhariri kiundani
Kusoma kwa prufu
Usanifu
Usanifu wa muundo
Usanifu wa picha
Uchapishaji
Nakala zilizopigwa chapa
Mwaka wa uchapishaji: 2020