Hear Our Stories Take Action
Mifano ya kurasa zilizotumiwa
Muhtasari
Kitabu hiki kinalenga kufikia watoto wote, kuwaelimisha na kuwawezesha kupata msaada. Kinasaidia kuelimisha watoto juu ya haki za binadamu, hasa haki za mtoto wa kike. Kitabu hiki kinajibu maswali yaliyoteuliwa kutoka kwa watoto na kujibiwa na mawakili na wanasaikolojia. Wakenya na kwa lugha ambayo wasichana wadogo huelewa. Kitabu hiki kinathibitisha kuwa sauti ya watoto imesikika na kuna kujitolea kulinda maisha ya watoto wakiwa nyumbani, shuleni ama wakiwa ndani ya jamii.
Mchango wetu
Uhariri
Kuhariri kiundani
Kusoma kwa prufu
Michoro
Kuunda michoro na kuifanya ihusiane na hadhira lengwa, ambayo ni wasichana wa umri mdogo
Usanifu
Usanifu wa muundo
Usanifu wa picha
Uchapishaji
Nakala zilizoundwa tayari kwa uchapaji
Nakala ndogo zilizoundwa ili kusambaza mtandaoni kwa urahisi
Mwaka wa uchapishaji: 2018