Hommage aux femmes rurales africaines
Gardiennes des semences de l’alimentation et des connaissances traditionnelles pour améliorer la résilience face aux changement climatiques
Mifano ya kurasa zilizotumiwa
Muhtasari
Zaidi ya milenia, wanawake katika tamaduni nyingi za Kiafrika wametekeleza jukumu kubwa la kuchagua, kuhifadhi na kuhimiza utofauti wa mbegu zao. Kuzalisha chakula kwa familia zao katika hali tofauti, wanaunda uwezo changamano ili kuelewa mazingira na anga, kupiga hesabu sahihi kuhusu ni kipi cha kupanda katika msimu ujao.
Uchangamano wa mfumo wa maarifa, uhusiano wa karibu ambao wanawake wa mashinani huwa nao na shamba na mbegu na kuelewa kwao kwa mahitaji mbali mbali ya familia na ya jamii haiwezi kupuuzwa.
Imekua kwa vizazi. Ujuzi huu upo katika kiini cha jukumu endelevu la wanawake katika kujenga uthabiti na hadhi katika jamii.Sura hiyo inaangazia namna wanawake ndio wenyeji wa mbegu na utofauti wa vyakula; namna wanawake wamebaguliwa katika kipindi cha ukoloni, baada ya ukoloni, na michakato ya kiulimwengu. Hatimaye, inapeana njia ya kufufua hekima ya kiasili ya wanawake na uongozi wa kiuthabiti.
Mchango wetu
Uhariri
Kuhariri kiundani
Kusoma kwa prufu
Uchapishaji
Nakala zilizopigwa chapa
Mwaka wa uchapishaji: 2016