Horizon Institute Annual Report

Mifano ya kurasa zilizotumiwa

Muhtasari

Ripoti ya kila mwaka ya taasisi ya Horizon ina jukumu kubwa la kuhakikisha uwepo wa usawa kwa taasisi zinazowajibika kwa watu zinahudumia. Ripoti hii inaangazia vita vya kijinsia na pia kuhimiza kuwa kesi kubwa za vita vya kijinsia hasa ubakaji vichukuliwe hatua kali za kisheria badala ya kuzishulihisha kwa makubaliano ya kinyumbani. Ripoti hii inahakikisha kuwa washikadau wanajitahidi kuwezesha upatikanaji wa mifumo yenye usawa Somaliland. Inasisitiza kuwa ni jukumu la jumla kuwezesha usawa Somaliland na wala sio jukumu la taasisi tu.

Mchango wetu

Uhariri
Kuhariri kiundani
Kusoma kwa prufu

Usanifu
Usanifu wa muundo
Usanifu wa picha

Uchapishaji
Nakala zilizoundwa tayari kwa uchapaji
Nakala ndogo zilizoundwa ili kusambaza mtandaoni kwa urahisi

Mwaka wa uchapishaji: 2020

Lengo la Malengo ya Maendeleo Endelevu linalohusiana na chapisho