How to Make Insurance Work Smarter in Africa
Mifano ya kurasa zilizotumiwa
Muhtasari
How to Make Insurance Work Smarter in Africa inaonyesha namna Afrika itatimiza ukuaji wa mikakati kupitia mawazo mazuri, lengo, ubunifu na moyo wa ushirikiano. Kauli ya kitabu ni kuwa matumizi ya kisasa ya bima katika bara ni ya kiwango cha chini kwa kutegemea sababu nyingi, ikiwemo wala si kuzifunga tu kwa, kutoelewa zao hilo vizuri na umma na ukosefu wa elimu ya kutosha kwa wananchi kuhusu umuhimu wa bima. Hata hivyo uwezo wa kukua kwa bara ni mkubwa. Kitabu hiki kimependekeza mikakati mbali mbali ambayo weledi wa bima wanaweza kutumia kufanya bima itambulike pakubwa na umma.
Mchango wetu
Uhariri
Kuhariri kiundani
Kusoma kwa prufu
Michoro na vibonzo vya uhariri
Vibonzo vya uhariri katika kila sura
Usanifu
Usanifu wa muundo
Grafu
Michoro yenye ujumbe
Usanifu wa picha
Uchapishaji
Nakala zilizopigwa chapa
Uchapishaji Amazon
Mwaka wa uchapishaji: 2021