James Norman Newsletter
Mifano ya kurasa zilizotumiwa
Muhtasari
Jarida hili la kila mwezi lilichapishwa kwa maandalizi ya kuchapisha kitabu cha How to make insurance work in Africa. Vipande vya jarida hili vilitoka kwa weledi kutoka kwa kampuni za bima.
Mchango wetu
Uhariri
Kuhariri kiundani
Kusoma kwa prufu
Kuunda ujumbe
Kukusanya methali za kiafrika kutoka nchi mbalimbali za Afrika
Usanifu
Kutengeneza muundo wa jarida
Usanifu wa muundo
Usanifu wa picha
Uchapishaji
Nakala ndogo zilizoundwa ili kusambaza mtandaoni kwa urahisi
Mwaka wa uchapishaji: 2021