Juice It or Smooth It
Health Drinks on the Go
Mifano ya kurasa zilizotumiwa
Muhtasari
Kitabu hiki kidogo cha kufurahisha kina sharubati za kumdondosha mtu mate zilizotengenezwa kutoka kwa matunda, mboga na viungo vingine. Viungo vyote vilipatikana kinyumbani.
Utengenezaji wa sharubati aghalabu uhusishwa na kupunguza kilo ulio wa mateso, tulitaka kuunda kitu cha kufurahisha na cha kimchezo hivi ili msomaji afurahie, na kukihusisha na mkutadha wa kinyumbani wa Kenya kadri iwezekanavyo.
Mchango wetu
Uhariri
Kuhariri kiundani
Kusoma kwa prufu
Kuunda ujumbe
Kuunda yaliyomo kurahisisha kufuatilia kwa resipe
Picha
Kupiga picha bora ili kufanya kijitabu kuwa maridadi na cha ushirikiano
Usanifu
Usanifu wa muundo
Usanifu wa picha
Uchapishaji
Nakala zilizoundwa tayari kwa uchapaji
Mwaka wa uchapishaji: 2014