KCCWG Strategy 2014-2018
Mifano ya kurasa zilizotumiwa
Muhtasari
Mpango wa mkakati wa Kikundi cha Utendaji Kazi cha Mabadiliko ya Anga Kenya (KCCWG) 2014-2018 kinaangazia zaidi ya kushawishi kanuni katika kiwango cha kitaifa ila pia kuimiza mpangilio wa maendeleo na miktadha ya kanuni inayounganisha kukabiliana na mabadiliko ya anga na mbinu ya kuyazuia katika kiwango cha gatuzi na kile cha serikali kuu.
Kwa kufanya kazi kupitia kwa uchangamfu wa gatuzi zilizozalishwa na katiba ya Kenya ya 2010, KCCWG inapigania kiwango kizuri cha rasilimali kuunganisha na kuzipa nguvu sauti za wanajamii wa gatuzi na kujenga uwezo wao wa kuhusika na masuala ya mabadiliko ya anga ya kinyumbani pamoja na serikali zao za ugatuzi.
Mpangilio huu wa mikakati ya kila mwaka unapendekeza kuhakikisha kuwa mwelekeo wa KCCWG unaangazia mahitaji na matarajio ya mabadiliko ya anga ya washikadau (kutoka chini hadi juu) huku Kenya na kuunga mazingira ya ugatuzi na namna yanachangia ukuaji wa kimsingi.
Mchango wetu
Uhariri
Kuhariri kiundani
Kusoma kwa prufu
Picha
Kutafuta picha
Usanifu
Usanifu wa muundo
Usanifu wa picha
Kuunda grafu maalum
Uchapishaji
Nakala zilizoundwa tayari kwa uchapaji
Nakala zilizopigwa chapa
Mwaka wa uchapishaji: 2014