Kipawa cha Aziza
Mifano ya kurasa zilizotumiwa
Muhtasari
Kipawa cha Aziza ni tafsiri ya hadithi Aziza’s Gift katika Kiswahili. Hadhira lengwa ya hadithi hii ni watoto wadogo. Ni hadithi ya kusisimua inayoeleza safari ya Aziza kuanzia kuwa na uoga, kutiwa moyo na hatimaye kushinda katika shindano la kutaja herufi. Kitabu hiki cha hadithi kinaimiza viongozi chipukizi kuwa jasiri na kujitahidi ili wafaulu.
Mchango wetu
Uhariri
Kuhariri kiundani
Kusoma kwa prufu
Tafsiri
Kutafsiri kitabu kutoka Kingereza hadi Kiswahili
Usanifu
Usanifu wa muundo
Grafu
Usanifu wa picha
Uchapishaji
Nakala zilizoundwa tayari kwa uchapaji
Nakala zilizopigwa chapa
Mwaka wa uchapishaji: 2022