Kitabu Cha Mwongozo cha Stadi za Maisha

Mifano ya kurasa zilizotumiwa

Muhtasari

Kitabu hiki ni rasilimali nzuri kwa walimu wanaokusudia kufunza wanafunzi wao ujuzi muhimu wa maisha. Pindi watoto wakuavyo, wanakumbana na mabadiliko na changamoto nyingi. Matokeo yake ni kuwa huenda wakafanya uamuzi ambao huatarisha usalama na ustawi wao katika harakati yao ya kutafuta uhuru na kujitegemea.

Hii ilikua juhudi ya pamoja ya Young Strong Mothers Association (YSMF) na Equality Now. Kwa pamoja wameunda mwongozo unaoeleweka utakaotumiwa na walimu wa ujuzi wa maisha ndani na nje ya shule nchini Tanzania na Kenya. Mwongozo huu unakusudia kuelekeza wanafunzi kukabiliana na changamoto zinazotokea wanapokuwa na kuwapa ujuzi wanahitaji kufanya maamuzi yaliyo na uwajibikaji. Kwa usaidizi wa mwongozo huu, walimu wanaweza kuwaandaa wanafunzi kukabiliana na mabadiliko ya maisha kwa ujasili na ustawi.

Mchango wetu

Uhariri
Kuhariri kiundani
Kusoma kwa prufu

Tafsiri
Kutafsiri matini kutoka Kingereza hadi Kiswahili

Usanifu
Usanifu wa muundo
Usanifu wa picha

Uchapishaji
Nakala zilizoundwa tayari kwa uchapaji
Nakala zilizopigwa chapa

Mwaka wa uchapishaji: 2018

Lengo la Malengo ya Maendeleo Endelevu linalohusiana na chapisho