Kuzisaidia nchi za IGAD (Kenya, Somalia, Sudan na Uganda) kutengeneza orodha na taarifa ya mizania ya malisho ya mifugo
Mifano ya kurasa zilizotumiwa
Muhtasari
Ripoti hii inawasilisha matokeo ya mradi uliozingatia uundaji wa orodha na taarifa ya mizania ya malisho ya maeneo madogo ya usimamizi ndani ya nchi za Kenya, Somalia, Sudan, na Uganda. Sekta ya mifugo, yenye uwezekano mkubwa wa kugeuza mamilioni ya maisha ya watu, inakabiliwa na vizuizi vikubwa vya ukuaji, upungufu wa malisho na chakula kikavu cha mifugo ndiyo changamoto kubwa zaidi. Kuifikia taarifa ya mizania ya kuaminika ni muhimu kwa usimamizi bora wa rasilimali, hasa wakati wa dharura, na ni muhimu kwa maendeleo endelevu. Kwa kushirikiana na FAO na IGAD, mradi huu unatetea kuweko kwa vifaa vipya vya ukadiriaji na mizania na inataka kukuza uwezo wa kujifunza katika nchi hizi ili kuunda na kuendelea kutengeneza upya orodha na taarifa ya mizania ya malisho.
Mchango wetu
Kuhariri
Uhariri thabiti
Kusahihisha
Ubunifu
Ubunifu wa michoro
Uchapishaji kupitia tarakilishi
Uchapishaji
PDF Iliyo tayari kuchapishwa
Faili ndogo ya PDF iliyo rahisi kushiriki na watu mtandaoni
Mwaka wa uchapishaji: 2024