L’impact socio-économique des menaces maritimes dans l’océan Indien occidental

Mifano ya kurasa zilizotumiwa

Muhtasari

Ripoti hii inakusudia kuelewa gharama inayohusiana na tisho za baharini kwa maeneo ya WIO kuchunguza tishio sugu la ulinzi wa bahari la kisasa kwa kina. Iliundwa kipindi cha mkurupuko wa kiulimwengu wa COVID-19, ripoti hii inaashiria kuwa gharama ya tisho za baharini haipimwi hasa kupitia dola. Ukosefu wa usalama baharini imedhihirisha vidokezo vya usalama halisi,maisha endelevu, utofauti wa viumbe hai, na afya ya umma.

Hata kama, uarifu mwingi wa baharini uliojadiliwa katika hii ripoti ni dosari lililofichwa, ukina wa uarifu huu haujaangaziwa kikamilifu. Athari za uharifu wa baharini na tishio zake, viwanda vya ushehena, na jamii za pwani katika eneo lote umuhimu zinaendelea kukua. Ripoti hii inapima athari za tisho la baharini iwezekanavyo. Inaangazia gharama ya kiuchumi ya kijamii kwa jamii za pwani zilizo kwenye hatari na wale ambao maisha yao inategemea bahari.

Mchango wetu

Uhariri
Kuhariri kiundani
Kusoma kwa prufu

Tafsiri
Kutafsiri mswada kutoka Kingereza hadi Kifaransa

Usanifu
Usanifu wa muundo
Grafu
Usanifu wa picha

Uchapishaji
Nakala zilizoundwa tayari kwa uchapaji
Nakala ndogo zilizoundwa ili kusambaza mtandaoni kwa urahisi

Mwaka wa uchapishaji: 2022

Lengo la Malengo ya Maendeleo Endelevu linalohusiana na chapisho