Litigating the Maputo Protocol
A Compendium of Strategies and Approaches for Defending the Rights of Women and Girls in Africa
Mifano ya kurasa zilizotumiwa
Muhtasari
Litigating the Maputo Protocol ni mkusanyiko wa mikakati na njia za kulinda haki za wanawake na wasichana Afrika kama baadhi ya makadirio ya miaka mingi ya athari ya mafundisho yaliyofanywa na Equality Now.
Unashirikiana kuwapa mawakili maarifa wanayohitaji, ujuzi na umahiri wa kutumia Maputo Protocal katika kudai haki za wanawake na wasichana katika korti za kitaifa, mkoa na za kiulimwengu. Kama matokeo yake chapisho hili linaonyesha mfano bora wa kudai kama mkakati wa kuhakikisha haki hizo zilizo ndani ya Maputo Protocal zimebadilika na kuleta manufaa mahususi kwa wanawake na wasichana Afrika.
Zaidi, inaonyesha uwezo ulioongezeka wa mawakili walioelimishwa kuchanganua hali ya haki za wanawake na wasichana kwa nchi zao kupitia kwa usaidizi wa Maputo Protocol. Waliochangia chapisho hili ni, wahamasishaji wasomi kwa kujitolea wenyewe ambao wametumia tajriba yao kwa kulinda haki za wanawake ili kutoa uchanganuzi wa kiundani wa sheria kwa kuzingatia tajriba zao za kupigania haki za wanawake na wasichana katika mazingira yao.
Mchango wetu
Uhariri
Kuhariri kiundani
Kusoma kwa prufu
Usanifu
Usanifu wa muundo
Usanifu wa picha
Uchapishaji
Nakala zilizoundwa tayari kwa uchapaji
Nakala ndogo zilizoundwa ili kusambaza mtandaoni kwa urahisi
Mwaka wa uchapishaji: 2018