Magana Flowers Catalogue

Mifano ya kurasa zilizotumiwa

Muhtasari

Katalogi hii iliundwa ili kutumiwa kwa maonyesho ya kimataifa ya maua. Kwa tajriba ya zaidi ya miaka 20 ya kupanda na kusafirisha maua duniani kote, katalogi ya Magana Flower Kenya Limited inaonyesha aina za maua yanayopandwa. Inaeleza pia namna wanavyotumia dawa za kunyunyizia wadudu za kisasa na mbinu za kulinda udongo ili kuzalisha maua ya waridi yenye afya yaliyo na rangi nzuri ambayo husafirishwa nje ya nchi ndani ya masaa 48 ya kuvunwa.

Mchango wetu

Uhariri
Kuhariri kiundani
Kusoma kwa prufu

Usanifu
Usanifu wa muundo
Usanifu wa picha

Uchapishaji
Nakala zilizopigwa chapa

Mwaka wa uchapishaji: 2014

Lengo la Malengo ya Maendeleo Endelevu linalohusiana na chapisho