Navigating the transition in times of uncertainty:

From a paradigm of energy security to electricity security in North Africa

Mifano ya kurasa zilizotumiwa

Muhtasari

Makala hii inatilia mkazo mwongo muhimu wa kupunguza kaboni duniani na haja ya kutathmini upya usalama wa kawi. Inachunguza mkondo wa mpito wa kawi Kaskazini mwa Afrika, ikitoa mapendekezo ya kusawazisha usalama wa kawi na mpito huo. Makala hii inaonyesha kuwa mpito huu ndio suluhisho la mtanziko wa kawi, ikipendekeza hatua za kuweko kwa mifumo imara ya kawi katika eneo hilo. Inasisitiza kuwa kawi inayoweza kutengezwa upya ndiyo chaguo salama na endelevu, inayokuza ushirikiano na uaminifu katika eneo hili kupitia kwa  miundombinu ya kushirikiana.

 

Mchango wetu

Kuhariri
Uhariri halisi
Kusahihisha

Ubunifu
Ubunifu wa michoro
Uchapishaji kupitia tarakilishi

Uchoraji
Ubunifu wa michoro na ramani za takwimu
Uchapishaji kupitia tarakilishi

Uchapishaji
PDF iliyo tayari kuchapishwa
Faili ndogo ya PDF faili rahisi kushiriki na watu mtandaoni

Mwaka wa uchapishaji: 2024

Lengo la Malengo ya Maendeleo Endelevu linalohusiana na chapisho