Our Environment Under Siege
Bequeathing Hope for Future Generations
Mifano ya kurasa zilizotumiwa
Muhtasari
Hili ni toleo la pili la chapisho lililo na sura zaidi kuhusu COVID-19 na athari zake katika mazingira. Ndani ya kitabu hiki mwandishi anaeleza kuwa kudorora kwa mazingira ni sababu ambayo imechangia kwa mpurupuko wa COVID.
Profesa Michieka Ratemo anaeleza maisha yake ya kikazi kama profesa wa mazingira ndani ya kazi hii. Wakati wa kuandaa mihadhara yake kwa vyuo tofauti alipata wazo la kujumuisha kazi yake iwe kitabu. Kushirikiana na Profesa Michieka katika chapisho hili ilitufunza ni nini kinahitajika haswa kulinda na kutunza mazingira yetu na ni nini matokeo yakutolinda mazingira.
Mchango wetu
Uhariri
Kuhariri kiundani
Kusoma kwa prufu
Picha
Kutafuta picha halisi za kutumia kwa chapisho
Usanifu
Usanifu wa picha
Grafu
Usanifu wa picha
Uchapishaji
Nakala zilizopigwa chapa
Mwaka wa uchapishaji: 2020