Protect Our Children Break the Silence
The Duty Bearer Handbook
Mifano ya kurasa zilizotumiwa
Muhtasari
Kitabu hiki kinatuwasilishia sauti za watoto na kutukumbusha kuhusu jukumu letu kwao. Kinatukumbusha unyanyasaji tofauti tofauti watoto wetu hukumbana nao na madhara ya kutochukua hatua kwetu kufanya jukumu letu kama lilivyoelezwa katika sheria. Wacha kitabu hiki kiwe kumbukizi ya kila mara kwamba tusilegeze kamba pale tunapaswa kutoa ulinzi na kuchukua hatua ila muhimu zaidi kujua kutochukua hatua kuna maana gani kwa maisha ya mbeleni ya gatuzi hili na nchi hii. Ni jukumu letu kukomboa kizazi chetu na kuchukulia hatua waarifu na makabiliano mengi ya kisekta ya kuimarisha mbinu zilizopo ambazo zitasababisha watoto wetu wahisi salama popote walipo.
Mchango wetu
Uhariri
Kuhariri kiundani
Kusoma kwa prufu
Michoro
Kuunda na kuchora michoro
Usanifu
Usanifu wa muundo
Usanifu wa picha
Uchapishaji
Nakala zilizopigwa chapa
Mwaka wa uchapishaji: 2020