Regulatory Review of the Electricity Market in Ghana

Towards Crowding-in Private Sector Investment

Mifano ya kurasa zilizotumiwa

Muhtasari

Hili ni chapisho la ushirikiano baina ya Tume ya Uchumi ya Umoja wa Mataifa wa Afrika (UNECA) na RES4Africa Foundation. Ripoti hii ilichapishwa kama miongoni mwa mfululizo wa ripoti za nishati za nchi zingine ambako taratibu za uchunguzi wa sekta ya umeme katika nchi tofauti tofauti ulifanyika. Ripoti hii inatambua umuhimu wa ushirikiano wa umma na wa kibinafsi katika kuboresha sekta ya nishati kwa kila nchi. Kila ripoti inatoa uchanganuzi wa uwekezaji wa aina tatu wa uwazi, utayari na mvuto wa nchi.

Mchango wetu

Uhariri
Kuhariri kiundani
Kusoma kwa prufu

Grafu na michoro yenye ujumbe
Kuunda na kusanifu grafu na michoro yenye ujumbe ili kurahisisha kuelewa na kufahamiana na ujumbe na data
Grafu hizi na michoro yenye ujumbe ilitumiwa kwa mfululizo wote

Usanifu
Usanifu wa muundo
Usanifu wa picha

Picha
Kutafuta picha halisi za sekta ya nishati za nchi hiyo

Uchapishaji
Nakala zilizoundwa tayari kwa uchapaji
Nakala ndogo zilizoundwa ili kusambaza mtandaoni kwa urahisi

Mwaka wa uchapishaji: 2021

Lengo la Malengo ya Maendeleo Endelevu linalohusiana na chapisho