Rwanda Tourism Satellite Accounts
Estimating the Economical Value Addition of Tourism to the National Economy for Rwanda
Mifano ya kurasa zilizotumiwa
Muhtasari
Ripoti hii inapeana ujumbe wa kina kuhusu mchango ambao sekta ya utalii inaongeza katika kukua kwa uchumi wa Rwanda. Utalii unatoa mchango mkubwa kwa jumla ya kipato cha taifa cha nchi. Ripoti hii inaangazia namna Rwanda imedhihirisha nguvu kuu za utalii kupitia kwa kuekeza pakubwa kwa sekta hii.
Inadhihirisha pia namna Rwanda imewezesha mazingira mazuri ambayo yameendelea kuvutia chapa nyingi za kimataifa na washikadau wengine wa nchi. Haya yote yanaazimia kuifanya Rwanda iongoze kama eneo la utalii Afrika kwa wanaowasili na wanaopokelewa. Ripoti hii pia inatambua changamoto ambazo sekta ya utalii inakumbana nazo.
Mchango wetu
Uhariri
Kuhariri kiundani
Kusoma kwa prufu
Picha
Kutafuta picha halisi za kutumia katika chapisho
Usanifu
Usanifu wa muundo
Kuunda grafu maalum
Usanifu wa picha
Uchapishaji
Nakala zilizoundwa tayari kwa uchapaji
Nakala ndogo zilizoundwa ili kusambaza mtandaoni kwa urahisi
Nakala zilizopigwa chapa
Mwaka wa uchapishaji: 2018