Suivi des progres rélatifs aux evolutions macro economiques et sociales en Afrique de l’Est 2012-13
Vers une croissance de Haute qualité et une transformation structurelle dans la région d’Afrique de l’Est
Mifano ya kurasa zilizotumiwa
Muhtasari
Kutokana na mazingira tata ya kimataifa, uthabiti unaendelea wa ukuaji wa kiuchumi katika eneo la Afrika Mashariki umekuwa wa kuridhisha sana.
Hata hivyo, katika eneo zima, ushahidi unaunga mkono wazo kwamba, licha ya utendaji bora wa kiuchumi katika miaka ya 2000 baada ya miongo miwili ya kudorora kwa uchumi, bado kuna mahitaji mengi ya kutimiza katika nyanja za kijamii na kiuchumi.
Ripoti hii inachunguza sababu za hali hii, ikilenga kwa kiasi kikubwa suala la ‘ubadilishaji wa muundo’ usiotosha, yaani mabadiliko kuelekea kwa shughuli zinazozalisha mapato ya juu na kuachana na utegemezi wa jadi kwenye uzalishaji wa bidhaa na bidhaa ambavyo havijapitishwa viwandani.
Mchango wetu
Uhariri
Kuhariri kiundani
Kusoma kwa prufu
Picha
Kutafuta picha halisi
Tafsiri
Kutafsiri mswada kutoka Kingereza hadi Kifaransa
Usanifu
Usanifu wa muundo
Usanifu wa picha
Grafu maalum
Uchapishaji
Nakala zilizoundwa tayari kwa uchapaji
Nakala zilizopigwa chapa
Mwaka wa uchapishaji: 2014