The Blue Economy

Mifano ya kurasa zilizotumiwa

Muhtasari

Chapisho la Blue Economy linahusu kila shughuli ya majini ikiwemo bahari, maziwa, mito, visiwa na ufuo. Inaangazia jamii zilizo karibu na hizi rasilimali na wale wanaozitumia kwa shughuli za kiuchumi na za kijamii. Ripoti hii inaeleza nafasi zinazotokana na usimamizi mzuri na kutumia rasilimali hizi huku kwa kutambua hatari zinazohusiana na kuzitumia kupita kiasi. Mtazamo wa kijiografia wa Afrika Mashariki eneo linaloanzia Delta ya Kongo kutoka Magharibi hadi Kisiwa cha Ushelisheli kutoka Mashariki na kutoka bahari ya Shamu inayopakana na Msumbiji.

Mchango wetu

Uhariri
Kusoma kwa prufu

Picha
Kutafuta picha halisi

Usanifu
Kutengeneza grafu
Usanifu wa muundo
Usanifu wa picha

Uchapishaji
Nakala zilizoundwa tayari kwa uchapaji
Nakala ndogo za kusambaza kwa urahisi mtandaoni

Mwaka wa uchapishaji: 2015

Lengo la Malengo ya Maendeleo Endelevu linalohusiana na chapisho