The Genocide Fugitive Tracking Unit

Mifano ya kurasa zilizotumiwa

Muhtasari

Kikosi cha Kufuatilia Watoro wa Mauaji Makubwa ya Kimaksudi (GFTU) kilianzishwa Novemba 2007 na Mamlaka ya Mashitaka ya Umma ya Kitaifa (NPPA) kama kitengo maalumu. GFTU imekabidhiwa azma iliyo wazi  na serikari ya Rwanda: Kushughulikia na kuwaletea usawa makumi ya maelfu ya washukiwa wa mauaji ya kikabila wanaoishi katika pembe zote za dunia, mara nyingine waziwazi, lakini mara nyingi kisirisiri. Tulitengeneza posta kubwa na nyingi za A2 ili kurahisisha usambazaji.

Mchango wetu

Uhariri
Kuhariri kiundani
Kusoma kwa prufu

Usanifu
Usanifu wa muundo
Usanifu wa picha

Uchapishaji
Nakala zilizoundwa tayari kwa uchapaji
Nakala zilizopigwa chapa

Mwaka wa uchapishaji: 2014

Lengo la Malengo ya Maendeleo Endelevu linalohusiana na chapisho