Women In Energy

A just transition
Or just a transition

Mifano ya kurasa zilizotumiwa

Muhtasari

Utafiti huu unachunguza kuhusishwa na kuwakilishwa kwa wanawake katika sehemu tano za sekta ya kawi: ufikiaji, elimu, ajira na uongozi, ujasiriamali na sera. Unatambua vizuizi na kupendekeza hatua za kukuza usawa wa jinsia katika kawi endelevu. Ripoti hii inawatetea wanawake katika mpito wa kawi wa kuwa na siku za baadaye zenye haki na endelevu, ikizingatia changamoto za dunia za kutolingana zinavyowaathiri wanawake. Inahitimishwa kwa kueleza hatua za kuzidisha kushiriki na kuwakilishwa kwa wanawake katika sekta ya kawi.

Mchango wetu

Kuhariri
Kusahihisha

Ubunifu
Ubunifu wa michoro
Uchapishaji kupitia tarakilishi

Uchoraji
Ubunifu wa michoro na ramani za takwimu

Uchapishaji
PDF Iliyo tayari kuchapishwa
Faili ndogo ya PDF faili rahisi kushiriki na watu mtandaoni

 Mwaka wa uchapishaji: 2024

Lengo la Malengo ya Maendeleo Endelevu linalohusiana na chapisho