Working Towards Sustainable Charcoal Business In Kenya
Mifano ya kurasa zilizotumiwa
Muhtasari
Kenya inategemea pakubwa malighafi ya miti. Makaa ni mafuta muhimu, na Wakenya wanakadiriwa kutumia tani milioni mbili nukta nne za makaa kila mwaka. Idadi ya watu ikiongezeka na hitaji la makaa pia huongezeka. Kwa sababu hii miti na mimea ya kichaka huangamizwa kwa haraka kutokana na kuitumia sana na usimamizi mbaya ambao mwishowe husababisha mabadiliko ya anga.
Chapisho hili linaeleza kuwa ni muhimu kuwa na mfumo ambao washikadau wa makaa wataelewa kanuni, uchaguzi wa miti mizuri ya makaa na soko la kuimarisha biashara endelevu ya makaa. Huu ni wito wa shughuli nzuri za kuzalisha makaa huku kwa kupunguza gharama na kuharibu mazingira huku moja kwa moja kuzidisha faida na kutimiza uendelevu.
Kijitabu hiki kilikusudia kuongezea kwa bango kuhusu uendelevu wa makaa na kuundwa ili kusambazwa kwa hadhira za mashinani.
Mchango wetu
Uhariri
Kuhariri kiundani
Kusoma kwa prufu
Picha
Kutafuta picha
Usanifu
Usanifu wa mtindo
Usanifu wa picha
Uchapishaji
Nakala zilizoundwa tayari kwa uchapaji
Nakala zilizopigwa chapa
Mwaka wa uchapishaji: 2013