Zindua
Launch into life well
Mifano ya kurasa zilizotumiwa
Muhtasari
Zindua ni kitabu cha kusoma kibinafsi au kwa makundi kinachokusudia kuwapa watu katika kipindi hiki mhimu cha maisha cha miaka 30-50 taswira ya nyuma ya jinsi mambo yanavyoonekana kutoka miaka 50 na kuendelea.
Inasisitiza mazingira mabaya ya maisha yanayojitokeza kutokana na nusu ya maisha ambayo haikulengwa kwa makusudi kulingana na mahitaji ya kipindi cha miaka 50 na zaidi, na muhimu zaidi, mazingira ya maisha yenye matumaini – matokeo ya juhudi na mipango inayotokana na ufahamu wa mahitaji halisi ya mtu, zaidi ya shinikizo na dharura za kipindi cha miaka 30-50 ya umri wa maisha.
Mchango wetu
Uhariri
Kuhariri kiundani
Kusoma kwa prufu
Usanifu
Kutengeneza muundo wa kitabu
Usanifu wa picha
Uchapishaji
Nakala zilizoundwa tayari kwa uchapaji
Mwaka wa uchapishaji: 2019